Read the book: «Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha»
Nukuu 150 kuhusu Mafanikio na Maisha
Na
Wael El Manzalawy
Imetafsiriwa na
Ephraim Kamau Njoroge
Yaliyomo
Ukurasa wa kichwa
Kuhusu Mwandishi
Utangulizi
Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio na Maisha
Kuhusu Mwandishi
Wael El-Manzalawy ni mwandishi Mmisri. Alizaliwa mwaka wa 1973. Alihitimu shahada kutoka Idara ya Kingereza katika Kitivo cha Sanaa. Ako na Diploma kutoka kitivo cha Elimu. Alihitimu kutoka taasisi ambayo hutayarisha wasomi wa Ki-Islamu. Yeye huandika makala na hadithi fupi kwa Ki-Arabu na Ki-Ingereza. Makala yake na hadithi fupi zilichapishwa kwenye gazette nyingi, jarida na kwenye mtandao. Amezichapisha jumla ya vitabu 22 mtandaoni, kwa Ki-Ingereza. Vitabu vyake vimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha 10. Wanaosoma vitabu vyake ni takriban 500,000.
Utangulizi
"Tupa jiwe kwenye maji yaliyotulia. Unaweza ukabadilisha ulimwengu."-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Unaweza ukahifadhi miaka mingi maishani kwa kusoma nukuu moja. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa. Natumai kwamba kitabu hiki kitakuwa cha msaada. Ninatazamia kuyaona maoni yako.
Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio na Maisha
"Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu."-Wael El-Manzalawy
"Watu wengi wanaokuzingira hawadhani kwamba wewe utakuwa fikra, lakini unaweza kufaulu."-Wael El-Manzalawy
"Unaweza kufanya mambo mengi, lakini wewe haujui hivyo"-Wael El-Manzalawy
"Kuwaza ndio rafiki yako wa kwanza. Udanganyifu wa kimawazo ndio adui wako wa kwanza."-Wael El-Manzalawy
"Hamu ndio kiberiti inayowasha mshumaa wa kufanikiwa."-William Arthur Ward
"Ujasiri sio kukosekana kwa woga, lakini ni uamuzi kwamba jambo lingine ni muhimu zaidi kuliko woga."-Ambrose Redmoon
Maisha bila kudhubutu haifai kuishi."-Charles A. Lindbergh
Inagharimu mtu mmoja tu kubadilisha maisha yako- wewe."-Ruth Casey
"Ikiwa unaelewa vyema kile unachotaka, ulimwengu unajibu kwa jia inayoeleweka "-Loretta Staples
"Umbali sio kitu, ni hatua tu ya kwanza ambayo ni ngumu."-Mme. Du Deffand
"Chochote katika maisha ni yenye thamani kumiliki ni thamani kufanyia kazi."-Andrew Camegie
The free excerpt has ended.